Wakati wa utafiti wetu Tanzania mnamo mwaka 2019 kwaajili ya mradi wa Mama na Ualbino, tulisikia mara kadhaa kwamba viongozi wa kidini wana ushawishi mkubwa katika jamii katika utoaji wa misaada, elimu na utetezi. Kiongozi mmoja wa kiislam alisema kwamba “viongozi wa kidini tayari wana uwezo wa kufikia sehemu za ndani zaidi za jamii….. wanasikilizwa… Continue reading Mkutano wa Viongozi wa Dini Tanzania